Skip to main content

ZUMA AKUBALI KUJIUZULU

            Raisi  Jacob  Zuma  wa  Afrika Kusini  amekubali  kujiuzulu,  ni  baada ya  wito  uliotolewa  na  chama chake cha  ANC  kumtaka  ajiuzulu  ndani  ya  masaa 48.
           Raisi  huyo  amekubali  kufanya hivo ingawa kwa  sharti  la kuwa atajiuzulu  baada ya  miezi  3  au  6 kuanzia  sasa. Bado  uongozi  wa  ANC haujatoa  tamko  kama  umekubaliana  na  swala hilo.
       Raisi  Jacob  Zuma  alishindwa  uongozi  wa Chama   tawala  cha  (ANC )Disemba  mwaka jana,  lakini  pia  amekua  akikabiliwa  na  tuhuma mbalimbali za rushwa.

Comments