Hatimaye Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu imeifuta kesi ya Matunzo ya mtoto iliyofunguliwa na mwanadada Hamisa Mobeto dhidi ya Mzazi mwenzake Naseeb Abdul'Diamond Platnumz'.
Maamuzi hayo yalifanyika baada ya pande zote mbili kukubaliana na kuridhia juu ya utaratibu wa matunzo ya mtoto wao, ambapo awali ilionekana hakukuwa na makubaliano mazuri baina yao.
Wawili hao walifika mahakani ili kuweka kumbukumbu ya makubaliano yao kwenye maandishi ili kusije kuwa mikanganyiko mbeleni.
Hakuna kitu chochote kitamu chenye harufu na radha nzuri kama keki uliyoipika kwa mikono yako. Upishi wa keki ni mwepesi sana endapo mpishi atazingatia vitu muhimu vinavyohitajika pamoja na hatua zake. MAHITAJI *unga vikombe2 *maziwa kikombe1 *sukari kikombe1 *siagi kikombe1 *baking powder vijiko vidogo 2 *mayai 6 yakienyeji *vanilla matone mawili au limao 1 Zingatia Limao au vanilla hutumika kwaajili ya kupunguza harufu ya mayai kwenye keki.kwahiyo ukikosa vanilla pia waweza kutumia maganda ya limao. Pia andaa jiko lako la mkaa mapema ili lipate joto pamoja na sufuria iliyopakwa siagi ndani ili kuzuia keki kuganda. HATUA *Andaa bakuli lako la udongo na mwiko ambao utatumia kuchanganya mchanganyiko wako *chukua kikombe kimoja cha siagi na utie katika bakuli pamoja na kikombe kimoja cha sukari. *koroga mchanganyiko wa sukari na siagi mpaka pale utakapolainika na chembe chembe za sukari kupotea kabisa *W...
Comments
Post a Comment