Skip to main content

DIAMOND, ZARI CHALI

                Mahusiano ya  Diamond  Plutnumz  na  Zari  ambayo  yalikuwa  yakipendwa  na  mashabiki wengi  nje  na  ndani ya  Tanzania hatimaye  yamefika  mwisho.  Hii ni  baada  ya  Zari (Zari the  bosslady) kuthibitisha  hilo  kupitia  ukurasa  wake  wa  Instagram.

Comments

Popular posts from this blog

JIFUNZE KUPIKA KEKI KWA JIKO LA MKAA

             Hakuna kitu chochote kitamu chenye harufu na radha nzuri kama keki uliyoipika kwa mikono yako. Upishi wa keki ni mwepesi sana endapo mpishi atazingatia vitu muhimu vinavyohitajika pamoja na hatua zake. MAHITAJI *unga vikombe2 *maziwa kikombe1 *sukari kikombe1 *siagi kikombe1 *baking powder vijiko vidogo 2 *mayai 6 yakienyeji *vanilla matone mawili au limao 1 Zingatia Limao au vanilla hutumika kwaajili ya kupunguza harufu ya mayai kwenye keki.kwahiyo ukikosa vanilla pia waweza kutumia maganda ya limao. Pia andaa jiko lako la mkaa mapema ili lipate joto pamoja na sufuria iliyopakwa siagi ndani ili kuzuia keki kuganda. HATUA *Andaa bakuli lako la udongo na mwiko ambao utatumia kuchanganya mchanganyiko wako *chukua kikombe kimoja cha siagi na utie katika bakuli pamoja na kikombe kimoja cha sukari. *koroga mchanganyiko wa sukari na siagi mpaka pale utakapolainika na chembe chembe za sukari kupotea kabisa *W...

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

Vichwa  vikubwa  vya magazeti ya  leo  jumapili

AY AVUTA JIKO LA KINYARWANDA

             Msanii AY, amefunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu ambaye ni raia wa Rwanda, ndoa hiyo ilifungwa  nchini Rwanda huku akisindikizwa na msanii mwenzake ambaye pia ni rafiki yake wa mda mrefu 'Mwana FA'