Skip to main content

Jipatie  kaptula  na  tisheti za  kijanja  kwa  bei  nafuu  kabisa,  Wanapatika  Dar Es Salaam  karibu  na  chuo  kikuu  cha  Dar  Es  Salaam(UDSM). Kwa  mawasiliano  zaidi  piga simu  namba  0718000005  au  0655320024....NYOTE  MNAKARIBISHWA.
Price: 28000

Comments

Popular posts from this blog

JIFUNZE KUPIKA KEKI KWA JIKO LA MKAA

             Hakuna kitu chochote kitamu chenye harufu na radha nzuri kama keki uliyoipika kwa mikono yako. Upishi wa keki ni mwepesi sana endapo mpishi atazingatia vitu muhimu vinavyohitajika pamoja na hatua zake. MAHITAJI *unga vikombe2 *maziwa kikombe1 *sukari kikombe1 *siagi kikombe1 *baking powder vijiko vidogo 2 *mayai 6 yakienyeji *vanilla matone mawili au limao 1 Zingatia Limao au vanilla hutumika kwaajili ya kupunguza harufu ya mayai kwenye keki.kwahiyo ukikosa vanilla pia waweza kutumia maganda ya limao. Pia andaa jiko lako la mkaa mapema ili lipate joto pamoja na sufuria iliyopakwa siagi ndani ili kuzuia keki kuganda. HATUA *Andaa bakuli lako la udongo na mwiko ambao utatumia kuchanganya mchanganyiko wako *chukua kikombe kimoja cha siagi na utie katika bakuli pamoja na kikombe kimoja cha sukari. *koroga mchanganyiko wa sukari na siagi mpaka pale utakapolainika na chembe chembe za sukari kupotea kabisa *W...

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

Vichwa  vikubwa  vya magazeti ya  leo  jumapili

AY AVUTA JIKO LA KINYARWANDA

             Msanii AY, amefunga ndoa na mpenzi wake wa mda mrefu ambaye ni raia wa Rwanda, ndoa hiyo ilifungwa  nchini Rwanda huku akisindikizwa na msanii mwenzake ambaye pia ni rafiki yake wa mda mrefu 'Mwana FA'