Serikali imesema, uhakiki wa madai ya watumishi wa umma umekamilika hivyo kiasi cha shilingi Billioni 43.39 kitalipwa.
Serikali imesema kwamba kiasi hicho kitalipwa kwa awamu pamoja na mshahara wa walimu wa mwezi Februari mwaka huu, malipo hayo yatajumuisha madai ya walimu elfu kumi na tano mia tisa kumi na tisa(15,919).
Majina ya walipwaji yatatangazwa kuanzia Februari 10, 2018
Hakuna kitu chochote kitamu chenye harufu na radha nzuri kama keki uliyoipika kwa mikono yako. Upishi wa keki ni mwepesi sana endapo mpishi atazingatia vitu muhimu vinavyohitajika pamoja na hatua zake. MAHITAJI *unga vikombe2 *maziwa kikombe1 *sukari kikombe1 *siagi kikombe1 *baking powder vijiko vidogo 2 *mayai 6 yakienyeji *vanilla matone mawili au limao 1 Zingatia Limao au vanilla hutumika kwaajili ya kupunguza harufu ya mayai kwenye keki.kwahiyo ukikosa vanilla pia waweza kutumia maganda ya limao. Pia andaa jiko lako la mkaa mapema ili lipate joto pamoja na sufuria iliyopakwa siagi ndani ili kuzuia keki kuganda. HATUA *Andaa bakuli lako la udongo na mwiko ambao utatumia kuchanganya mchanganyiko wako *chukua kikombe kimoja cha siagi na utie katika bakuli pamoja na kikombe kimoja cha sukari. *koroga mchanganyiko wa sukari na siagi mpaka pale utakapolainika na chembe chembe za sukari kupotea kabisa *W...
nashukuru sana coz umenielezea vizuri sana
ReplyDelete