RAISI MAGUFULI AMEVITAKA VYOMBO VYA DOLA KUWACHUKULIA HATUA WALIOHUSIKA NA KIFO CHA MWANAFUNZI AKWILLINA
Rais wa Jumuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe John Pombe Magufuli ameviagiza vyombo vya dola kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wote walio husika na kifo cha mwanafunzi wa Chuo Cha Usafirishaji(NIT) Akwilina Akwllini.
Na pia Raisi Magufuli amesikitishwa na tukio hilo na kutoa pole kwa familia ya marehemu na wote walioguswa na msiba huo.
RIP AKWILLINA.
Comments
Post a Comment